Thursday, March 19, 2009

MWANAHARAKATI WA UKWELI!!!!!

Jina kamili ni Atukuzwe E. Nairo
Ni mwanaharakati wa kupigania maisha
hasa kwa vijana,yaani namaanisha
hakuna kukata tamaa!Maisha yapo
ukiyahangaikia utayapata tu!
Napiga sana vita dhidi ya watu wanaokwenda
kinyume na maadilia ya maisha!
Tupeane habari kuhusu maisha na
kukemea vibaya kwa wanaokwenda kinyume
na maadili!